Karibu kwa «NJIA»
Nitawezaje kumpata Mungu ? Jifunze kumjua Yesu !
Yesu anasema : Mimi ndiye njia, kweli na uzima ! Yohana 14:6
Sio kupitia dini fulani, bali kupitia Yesu kama mtu ndio tunampata Mungu. Katika Matendo ya Mitume 2:37-38 wasikilizaji wamekuwa na wasiwasi mno : Tufanye nini sasa ? wakauliza. Petro akawambia : Tubuni, Acheni dhambi zenu , na mubatizwe katika jina la Yesu Kristo mpate kusamehewa dhambi na mtapokea Roho mtakatifu.
Hapa utapata hati kadhaa muhimu!
Video ambazo husaidia kuelewa vifaha Njia.info
vifaa vingine vipya vitawajia kwa siku zijazo !